Bodi ya Wakurugenzi na Watendakazi wote wa Kampuni ya DAGLAND CONSULT LIMITED tunawatakia Mapumziko Mema ya Siku ya Ijumaa Kuu.
.....................................................................................................................................
ISAYA 53:5
Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu iikuwa juu yake, Na kwakupigwa kwake sisi sote tumepona.
MUNGU AWABARIKI SANA
# INVEST WITH US FOR YOUR SUSTAINABLE ECONOMY
www.daglandconsultltd.co.tz