Kampuni ya DAGLAND CONSULT LIMITED inakupa ofa ya kumiliki viwanja katika msimu huu wa Pasaka. Viwanja vipo Kibaha Mjini-Pangani Karibu na CBD.
...........................................................................................................................................................
SIFA ZA VIWANJA
. Mradi upo Kilometer 2.7 toka stand Kuu ya MWENDOKASI
. Mradi una umeme na maji site. njoo ujionee mwenyewe
. Mradi upo mita 300 toka shule ya msingi pangani
. Mradi upo mita 500 kutoka Lami ndogo inayoelekea Baobab Mapinga
. Topographia ya eneo ni Tambarare
. Kupelekwa site ni muda wowote ule, wasiliana nasi mapema
. Malipo ni miezi mitatu tu baada ya kulipa asilimia 50%
. Viwanja vipo karibu kabisa na kiwanda cha vyama kipya na soko la Mbuzi choma kila jumamosi
Kwa Mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba zilizopo kwenye tangazo letu
#Invest with us for your Sustainable Economy
www.daglandconsult.co.tz
Comments